IQNA

Kikao cha Dharura cha OIC chajadili mauaji ya Waislamu New Zealand, Machi 15 iwe Siku ya Kupambana na chuki dhidi ya Uislamu Duniani

TEHRAN (IQNA)- Kikao cha dharura cha Jumuiya ya Ushirikiano wa Kiislamu (OIC) kimefanyika Ijumaa mjini Istanbul, Uturuki kwa lengo la kujadili hatua za...

Sauti ya Adhana yasikika kote New Zealand kuonyesha mshikamano na Waislamu

TEHRAN (IQNA)-Katika kuonyesha mshikamano na uungaji mkono kwa Waislamu pamoja na familia za wahanga wa shambulio la kigaidi la Ijumaa iliyopita katika...
Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu

Mwaka 1398 Hijriya Shamsiya ni mwaka wa "kustawi uzalishaji" Iran

TEHRAN (IQNA)- Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu, katika ujumbe kwa munasaba wa kuanza mwaka mpya wa 1398 Hijiria Shamsia, ametuma salamu za pongezi...
Rais Rouhani katika ujumbe wa Nowruz

Taifa la Iran kwa yakini litapata ushindi

TEHRAN (IQNA) - Rais Hassan Rouhani wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran mapema Alhamisi ametuma ujumbe kwa kunasaba wa kuanza mwaka mpya wa 1398 Hijria Shamsiya...
Habari Maalumu
Nchi 82 kushiriki Mashindano ya Kimataifa ya Qur'ani ya Iran

Nchi 82 kushiriki Mashindano ya Kimataifa ya Qur'ani ya Iran

TEHRAN (IQNA)-Nchi 82 zinatazamiwa kuwa na wawakilishi katika Mashidani ya Kimataifa ya Qur'ani Tukufu nchini Iran mwaka huu.
14 Mar 2019, 12:55
Wanafunzi wa chekechea za Kikristo Ujerumani kufunzwa Uislamu

Wanafunzi wa chekechea za Kikristo Ujerumani kufunzwa Uislamu

TEHRAN (IQNA)- Watoto wa shule moja ya chekechea ya Wakristo mjini Dusseldorf nchini Ujerumani wataanza kufunzwa Uislamu.
12 Mar 2019, 22:17
Zaidi ya Wanafunzi Milioni 2 Iran wanahifadhi Qur'ani

Zaidi ya Wanafunzi Milioni 2 Iran wanahifadhi Qur'ani

TEHRAN (IQNA) – Waziri wa Elimu wa Iran Sayyid Mohammad Bathayi amesema takribani wanafunzi zaidi ya milioni mbili nchini Iran wanashiriki darsa za kuhifadhi...
11 Mar 2019, 13:28
Waislamu Marekani wanabaguliwa zaidi ya wafuasi wa dini zingine

Waislamu Marekani wanabaguliwa zaidi ya wafuasi wa dini zingine

TEHRAN (IQNA)- Waislamu nchini Marekani wanabaguliwa zaidi ya wafuasi wa dini zingine zote nchini humo.
10 Mar 2019, 15:34
Njama za Marekani, Uingereza za kusambaratisha Hizbullah zimefeli
Sayyid Hassan Nasrallah

Njama za Marekani, Uingereza za kusambaratisha Hizbullah zimefeli

TEHRAN (IQNA)-Kiongozi wa Harakati ya Hizbullah ya Lebanon Sayyid Hassan Nasrallah amesema kuwa, Marekani ilikuwa na njama kubwa tofauti kwa ajili ya kusambaratisha...
09 Mar 2019, 11:18
Maandamano ya Waalgeria wakimtaka Rais Bouteflika aondoke madarakani

Maandamano ya Waalgeria wakimtaka Rais Bouteflika aondoke madarakani

TEHRAN (IQNA)-Wananchi wa matabaka mbali mbali huko Algeria wameendeleza maandamani Ijumaa wakimtaka Rais Abdelaziz Bouteflika aondoke madarakani na asiwanie...
08 Mar 2019, 20:59
Serikali ya Sudan yasisitiza kuunga mkono Madrassah za Qur'ani

Serikali ya Sudan yasisitiza kuunga mkono Madrassah za Qur'ani

TEHRAN (IQNA)- Serikali ya Sudan imetangaza azma yake ya kuunga mkono madrassah za Qur'ani nchini humo ili kuhakikisha zinafanikiwa katika kustawisha elimu...
06 Mar 2019, 11:44
Sheikh Mkuu wa Al Azhar akosolewa kwa kupinga ndoa ya wake wengi

Sheikh Mkuu wa Al Azhar akosolewa kwa kupinga ndoa ya wake wengi

TEHRAN (IQNA)- Sheikh Mkuu wa Al-Azhar wa Al Azhar amekosolewa na wanazuoni wenzake wa Kiislamu nchini Misri kwa kudai kuwa "ndoa ya wake wengi ni dhulma...
05 Mar 2019, 20:51
Waislamu Marekani waandaa sherehe za kuutambulisha Uislamu

Waislamu Marekani waandaa sherehe za kuutambulisha Uislamu

TEHRAN (IQNA)- Waislamu katika mji wa Memphis jimboni Tenessee wameanza chehreza za muda wa mwezi moja kwa lengo la kuutmabulisha Uislamu kwa wasiokuwa...
04 Mar 2019, 11:52
Majaji 22 wa kigeni katika Mashindano ya Kimataifa ya Qur'ani ya Iran

Majaji 22 wa kigeni katika Mashindano ya Kimataifa ya Qur'ani ya Iran

TEHRAN (IQNA) –Wataalamu 22 wa Qur'ani Tukufu kutoka nchi 13 za kigeni wameteuliwa kuwa majaji katika Mashindano ya 36 ya Kimataifa ya Qur'ani ya Jamhuri...
03 Mar 2019, 12:21
Mpango wa Adhana ya Pamoja katika Misikiti ya Cairo, Misri

Mpango wa Adhana ya Pamoja katika Misikiti ya Cairo, Misri

TEHRAN (IQNA) – Serikali ya Misri inatekeleza mpango wa majaribio wa adhana ya pamoja katika misikiti 113 nchini Cairo ili kuzuia sauti mbali mbali katika...
02 Mar 2019, 09:54
UN: Israel imetenda jinai za kivita dhidi ya Wapalestina

UN: Israel imetenda jinai za kivita dhidi ya Wapalestina

TEHRAN (IQNA)- Ripoti ya Umoja wa Mataifa imebaini kuwa yamkini utawala haramu wa Israel umetenda jinai za kivita au jinai dhidi ya binadamu katika oparesheni...
01 Mar 2019, 18:26
Picha