IQNA

Mwanamke Mwislamu Mmarekani mwenye kuvaa Hijabu awa balozi wa UNICEF

Halima Aden ni mwanamke Mwislamu Msomali-Mmaarekani ambaye huvaa Hijabu na mwezi Julai mwaka huu aliteuliwa kuwa balozi wa UNICEF. Aidha anahusika na kampeni ya matangazo ya Shirika la UNICEF.