Wawakilishi wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran wameshika nafasi za kwanza katika vitengo vitatu vya Mashindano ya Kwanza ya Kimataifa ya Majeshi ya Nchi za Kiislamu yaliyofanyika mjini Tehran.
2013 Jan 25 , 18:33
Taasisi ya Al Itrah ya Tanzania imechapisha tarjuma mpya ya Qur'ani kwa lugha ya Kiswahili. Kwa mujibu wa tovuti ya alitrah.info tarjuma hiyo imetayarishwa na Shaikh Hassan Ali Mwalupa, msomi maarufu wa Qur'ani Afrika Mashariki na kuhaririwa na Abdallah Mohammad. ya Al Itrah ya Tanzania imechapisha tarjuma mpya ya Qur'ani kwa lugha ya Kiswahili.
2013 Jan 16 , 10:48
Mashindano ya Kwanza ya Kimataifa ya Qur’ani Tukufu ya Majeshi ya Nchi za Kiislamu yatafanyika katika Jamhuri ya Kiislamu ya Iran kuanzia Januari 21-24.
2013 Jan 15 , 14:34
Ustadh Mahmoud Shahat, karii na msomaji mashuhuri wa Qur'ani wa Misri atakuwa mgeni wa heshima katika mashindano ya 35 ya kitaifa ya Qur'ani Tukufu nchini Iran.
2013 Jan 10 , 10:30
Qur'ani na vitabu vya fasihi ya Kiislamu ndivyo vinavyouzwa kwa wingi zaidi katika tamasha ya vitabu nchini India ambayo inafanyika katika mji wa Vijaywada katika jimbo la Andhra Pradesh.
2013 Jan 10 , 10:30
Athari za kale zinazohusiana na Qur'ani Tukufu zimegunduliwa katika msikiti wa Jamia wa Sanaa nchini Yemen.
2013 Jan 06 , 08:57
Serikali ya Ethiopia imepiga marufuku masomo ya aina yoyote ya tafsiri ya Qur'ani na sayansi ya kitabu hicho kitukufu katika ofisi za Kituo cha Utamduni cha Jamhuri ya Kiislamu ya Iran mjini Addis Ababa.
2012 Dec 29 , 18:00
Makamu wa Rais wa Sudan ametangaza kuwa nchi hiyo imeazimia kuzidisha uchapishaji wa nakala za Qur’ani Tukufu na kueneza mafundisho ya kitabu hicho cha Mwenyezi Mungu barani Afrika na dunia kote.
2012 Dec 22 , 20:29
Utafiti uliofanywa na taasisi ya Ant ya Uhispania umebaini kuwa Qur'ani Tukufu ndio kitabu kinachouzwa kwa wingi zaidi nchini humo katika nusu ya pili ya mwaka huu wa 2012.
2012 Dec 11 , 22:21
Wawakilishi wa Bangladesh wametamba na kushika nafasi za kwanza katika mashindano ya kimataifa ya Qur'ani Tukufu yaliyomalizika jana katika mji mtakatifu wa Makka huko Saudi Arabia.
2012 Dec 10 , 11:44
Mashindano ya 8 ya kimataifa ya Qur'ani Tukufu ya Libya yameanza leo mjini Tripoli.
2012 Dec 08 , 19:48
Mradi wa kutarjumi Qur'ani Tukufu kwa lugha ya ishara ya Kimarekani umeanza kutekelezwa na Jumuiya ya Kimataifa ya Waislamu wenye Ulemavu wa Kusikia nchini marekani (GDM).
2012 Dec 06 , 12:24
Makundi yanayohujumu Uislamu yamekivunjia heshima kitabu kitakatifu cha Qur'ani nchini Ubelgiji.
2012 Dec 06 , 12:24