Makundi yanayohujumu Uislamu yamekivunjia heshima kitabu kitakatifu cha Qur'ani nchini Ubelgiji.
2012 Dec 06 , 12:24
Shughuli ya kumkumbuka karii mashuhuri wa Qur’ani Ustadh Abdul Basit Abdul Samad ilifanyika Ijumaa iliyopita nchini Misri ikihudhuriwa na makarii na wapenzi wa Qur’ani Tukufu.
2012 Dec 03 , 13:16
Mashindano ya 34 kimataifa ya hifdhi, tajwidi na tafsiri ya Qur'ani yanaanza leo nchini Saudi Arabia yakiwashirikisha makarii kutoka nchi 53 katika Masjidul Haram mjini Makka.
2012 Dec 02 , 08:49
Mashindano ya kimataifa ya hifdhi na tajwidi ya Qur'ani Tukufu ya Libya yamepangwa kuanza tarehe 8 hadi 13 Disemba.
2012 Nov 27 , 19:35
Sherehe ya Tamasha ya 27 ya kimataifa ya Qur'ani na Ahlul Bait ya Wanafunzi wa Vyuo Vikuu vya Iran imeanza leo ikihudhuriwa na Waziri wa Utamaduni na viongozi wengine wa ngazi za juu hapa nchini.
2012 Oct 30 , 17:24
Jumuiya ya Qur’ani na Suna za Mtume ya Gaza imepata uanachama katika Jumuiya ya Kimataifa ya Kuhifadhi Qur’ani Tukufu.
2012 Oct 22 , 21:56
Gazeti la al Al-Masryoon linalochapishwa nchini Misri limeripoti kuwa nakala elfu 90 zenye makosa ya kichapa za Qur'ani Tukufu zimesambaza katika maduka ya nchi hiyo.
2012 Oct 17 , 21:13
Mashindano ya kimataifa ya hifdhi ya Qur'ani Tukufu ya Quds yamepangwa kufanyika katika eneo la Ukanda wa Gaza katika siku zijazo.
2012 Oct 08 , 18:23
Taasisi ya Qur'ani na Suna ya Sharjah katika Umoja wa Falme za Kiarabu imetangaza kuwa imeanza kusajili majina ya watu watakaoshiriki katika duru ya 16 ya mashindano ya hifdhi ya Qur'ani na Hadithi za Mtume (saw).
2012 Oct 06 , 21:43
Toleo la pili la jarida la Sauti ya Qur'ani lilalochapishwa na Darul Qur'ani al-Karim inayofungamana na Idara ya Haram ya Imam Hussein (as) mjini Karbala limetolewa.
2012 Oct 06 , 21:20
Mashindano ya 14 ya Kitaifa ya Qur’ani nchini Yemen yameanza Oktoba pili katika mji mkuu Sana’a.
2012 Oct 03 , 22:10
Marasimu ya kufarijika na Qur'ani Tukufu yamefanyika katika Haram ya Imam Hussein (as) ambapo makarii mashuhuri wa Iraq wameshiriki.
2012 Oct 03 , 16:09
Duru ya 14 ya mashindano ya kitaifa ya Qur'ani Tukufu kwa ajili ya vijana ilianza jana Jumanne huko Sanaa mji mkuu wa Yemen.
2012 Oct 03 , 16:06