Mashambulizi hayo yamezua wimbi la ukosefu wa usalama katika maeneo yanayokaliwa kwa mabavu Wakati huo huo, wanajeshi wa Israel wanaendelea na mashambulizi ya anga katika Ukanda wa Gaza ambayo yamesababisha uharibifu wa maeneo ya makazi na misikiti, na kupoteza maisha ya mamia ya watu.