iqna

IQNA

silimu
Uislamu unaenea kwa kaasi
IQNA - Kulingana na serikali ya Saudi Arabia, zaidi ya watu 347,000 wame silimu nchini humo katika kipindi cha miaka mitano iliyopita.
Habari ID: 3478226    Tarehe ya kuchapishwa : 2024/01/21

Jamii ya Waislamu
MITANDAONI (IQNA)- Klipu ya kijana Mwafrika akijaribu kumfundisha Qur'ani Tukufu  mke wake mzungu aliye silimu imevutia hisia za watumiaji wa mitandao ya kijamii.
Habari ID: 3477441    Tarehe ya kuchapishwa : 2023/08/15

TEHRAN (IQNA)- Dada wawili nchini Uingereza wame silimu baada ya kuvutiwa na unyenyekevu pamoja na maadili mema ya mchezaji soka maarufu wa Misri Mohammad Salah, ambaye ni fowadi wa klabu ya Liverpool katika Ligi Kuu ya Uingereza (EPL).
Habari ID: 3474224    Tarehe ya kuchapishwa : 2021/08/25