IQNA

Mhubiri wa Kiislamu Marekani atokwa na machozi akihutubu kuhusu Tawba - Video

TEHRAN (IQNA)- Sheikh Abdul Rashid ni mhubiri maarufu kaika Kituo cha Waislamu cha As-Siddiq mjini New York ambaye hotuba zake huwa na mvuto kutokana na mbinu yake ya kusoma aya za Qur'ani Tukufu.

Katika moja ya hotuba zake, alitokwa na machozi alipokuwa akizunguma kuhusu Tawba.