Habari Maalumu
IQNA – Mehdi Barandeh, mmoja wa wawakilishi wa Iran katika mashindano yajayo ya kimataifa ya Qur’ani nchini Bangladesh, anatarajiwa kuondoka kuelekea nchi...
16 Dec 2025, 15:17
IQNA – Mashindano ya 42 ya Kimataifa ya Qur’ani Tukufu ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran yanaendelea katika raundi ya awali, ambayo mwaka huu yanafanyika...
15 Dec 2025, 20:42
IQNA – Ujumbe wa ngazi ya juu wanazuoni wa Kiislamu kutoka Georgia umezuru Haram ya Imam Ridha (AS) jini Mashhad, Iran, ambapo wamekutana na maafisa wa...
15 Dec 2025, 20:49
IQNA – Kampuni ya TK Group, mojawapo ya makampuni makubwa nchini Bangladesh, imetangaza mipango ya kuandaa msimu wa pili wa mashindano ya usomaji wa Qur’ani...
15 Dec 2025, 20:38
IQNA – Watoto arobaini na wanne wa mashahidi ambao wamehifadhi Qur’ani Tukufu wameheshimiwa katika hafla maalumu huko Gaza.
15 Dec 2025, 20:35
IQNA – Qari na Muadhini wa Msikiti wa Al‑Aqsa katika al‑Quds (Jerusalem) ameaga dunia baada ya maisha marefu ya ibada katika Qibla cha kwanza cha Waislamu.
14 Dec 2025, 19:18
IQNA – Kitendo cha kudhalilisha na kuivunjia heshima Qur’ani Tukufu kilichotokea mjini Plano, jimbo la Texas, Marekani, kimezua hasira kubwa miongoni mwa...
14 Dec 2025, 19:14
IQNA – Katika jiji la Dearborn, Michigan, kuna taasisi ya Kishia iliyodumu kwa miaka mingi, ikifanya kazi kimya kimya bila makuu, lakini ikiwa na athari...
14 Dec 2025, 19:10
IQNA – Marehemu Sheikh Abdul Wahid Zaki Radhi alikuwa miongoni mwa magwiji wa usomaji wa Qur’ani nchini Misri, akijulikana kwa unyenyekevu wake katika...
14 Dec 2025, 19:03
IQNA – Sheria mpya inayowazuia wasichana walio chini ya miaka 14 kuvaa hijabu katika shule za Austria imeibua upinzani mkali, huku makundi ya kutetea haki...
13 Dec 2025, 16:41
IQNA – Mwandishi Mkristo kutoka Lebanon amemwelezea Bibi Fatima Zahra (SA) kuwa kielelezo kamili cha fadhila, akisema kuwa yeye ndiye nguzo ya imani na...
13 Dec 2025, 16:35
IQNA- Tuzo ya Kimataifa ya Qur’ani Tukufu ya Dubai (DIHQA) imetangaza kukamilika kwa Mashindano ya 26 ya Qur’ani ya Sheikha Hind bint Maktoum.
13 Dec 2025, 16:27
IQNA – Mkuu wa Shirika la Utangazaji la Umma nchini Uhispania (RTVE), José Pablo López, amemkemea Mkurugenzi wa Mashindano ya Muziki ya Eurovision kwa...
13 Dec 2025, 16:22
IQNA-Kituo cha Kiislamu cha Al-Azhar katika mkoa wa Aswan, Misri, kimewatunuku zawadi na heshima maalumu dada watatu Wamisri waliokamilisha kuhifadhi Qur'ani...
12 Dec 2025, 11:29
Msomi wa Algeria
IQNA-Profesa mmoja wa chuo kikuu kutoka Algeria amesema kuwa hoja za Qur'ani Tukufu alizotumia Bibi Fatimah Zahra (SA) katika kutetea misingi ya haki...
12 Dec 2025, 11:37