IQNA – Hafla ya kipekee ya kuashiria kuanza rasmi kutekeleza wajaibu wa ibada kwa wasichana arobaini kutoka mataifa mbalimbali iliandaliwa Jumatatu, Oktoba 27, 2025, katika ukumbi wa Dar al-Rahmah uliopo ndani ya Haram Tukufu ya Imam Ridha mjini Mashhad. 
Tukio hilo liliambatana na maadhimisho ya siku ya kuzaliwa kwa Bibi Zaynab (SA), mfano wa ushujaa, hekima na ucha Mungu kwa wanawake wa Kiislamu.                                 
                                                                      17:21 , 2025 Nov 02