IQNA

Qari wa Iran, Ustadh Moqaddami akisoma Aya za Surah An-Nur ya Qur'ani Tukufu

IQNA - Katika qiraa yake ya hivi punde zaidi, qari wa Iran Qassem Moqaddami alisoma aya kutoka kwenye Surah An-Nur ya Qur'ani Tukufu. Alifanya kisomo hicho katika programu ya Qur'ani iliyoandaliwa katika mji mtakatifu wa Qom Jumapili, Januari 7, na Taasisi ya Karimeh Al Rasoul.

Moqaddami alichukua nafasi ya  kwanza katika toleo la 29 la Mashindano ya Kimataifa ya Qur'ani Tukufu ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran mwaka 2012.

16:03 - 2024/01/10

 

Kishikizo: Qurani Tukufu.