Duru ya 14 ya mashindano ya kitaifa ya Qur'ani Tukufu kwa ajili ya vijana ilianza jana Jumanne huko Sanaa mji mkuu wa Yemen.
2012 Oct 03 , 16:06
Mkristo wa Misri Majdi al Gheiti mwenye umri wa miaka 38 ameshika nafasi ya pili katika mashindano ya Qur'ani Tukufu yaliyosimamiwa na Maktaba Kuu ya eneo la al Muusara nchini humo.
2012 Oct 02 , 16:43
Watu watano walioshinda katika mashindano ya utafiti bora wa Qur'ani wamearifishwa katika shughuli iliyosimamiwa na Kituo cha Taifa cha Sayansi za Qur'ani na Turathi za Kiraa nchini Iraq.
2012 Oct 01 , 18:16
Said an-Nahri, msanii na mwanakaligrafia mashuhuri wa Palestina ameandaa maonyesho maalumu katika mji wa Sakhnain kaskazini mwa Palestina ambapo ameonyesha makumi ya loho mbalimbali zilizopambwa kwa hadithi za Mtume (saw) na aya za Qur'ani zilizoandikwa kwa mbinu maalumu za kaligrafia.
2012 Sep 30 , 16:01
Waziri wa Elimu ya Juu wa Palestina amesema kuwa programu ya kwanza ya tarjumi ya Qur'ani kwa lugha ya ishara itazinduliwa hivi karibuni.
2012 Sep 30 , 15:10
Duru ya nne ya Tamasha la Kitaifa la Qur'ani Tukufu itafanyika tarehe 20 Disemba katika jimbo la Blue Nile, kusini mashariki mwa Sudan.
2012 Sep 29 , 14:06
Kiwanda cha kuchapisha nakala za Qur’ani cha Dar al Safwa ambacho kimekuwa kikiendesha shughuli zake bila ruhusa ya Jumuiya ya Utafiti wa Kiislamu ya al Azhar nchini Misri kimesimamishwa na mmiliki wake ametiwa nguvuni.
2012 Sep 26 , 17:19
Kongamano la 'Kutafakari Ndani ya Qur'ani' limepangwa kufanyika tarehe 26 na 27 Septemba katika Chuo Kikuu cha Howard mjini Washington DC huko Marekani.
2012 Sep 16 , 11:02
Sheikh wa al Azhar Ahmad Tayyib ameutaka Umoja wa Mataifa kupasisha sheria za kupambana na vitendo vinavyovunjia heshima matukufu ya Kiislamu.
2012 Sep 16 , 11:01
Awamu ya mwisho ya mashindano ya kimataifa ya Qur’ani ya wanafunzi Waislamu wa vyuo vikuu ilimalizika jana katika mji wa Tabriz huko kaskazini magharibi mwa Iran. Hafidhi na karii wa Jamhuri ya Kiislamu wameongoza katika mashindano hayo.
2012 Sep 15 , 23:55
Duru ya nne ya Mashindano ya Kimataifa ya Qur'ani ya Wanafunzi Waislamu wa Vyuo Vikuu yameanza leo katika mji wa Tabriz uliokpo magharibi mwa Iran yakiwashirikisha wanavyuo waliohifadhi Qur'ani nzima kutoka nchi mbalimbali.
2012 Sep 12 , 17:20
Mashindano ya Kimataifa ya Qur'ani Tukufu ya Wanachuo wa Ulimwengu wa Kiislamu yameanza leo mjini Tabriz kaskazini magharibi mwa Iran.
2012 Sep 12 , 17:07
Sheikh wa al Azhar ameafiki suala la kuasisiwa kituo cha utafiti wa masuala ya Qur’ani katika Chuo cha al Azhar kwa lengo la kutoa majibu kwa maswali yanayoulizwa kuhusu kitabu kitakatifu cha Qur’ani.
2012 Sep 11 , 23:27