Sheikh wa al Azhar ameafiki suala la kuasisiwa kituo cha utafiti wa masuala ya Qur’ani katika Chuo cha al Azhar kwa lengo la kutoa majibu kwa maswali yanayoulizwa kuhusu kitabu kitakatifu cha Qur’ani.
2012 Sep 11 , 23:27
Mashindano ya kimataifa ya Qur'ani Tukufu ya wanafunzi Waislamu wa vyuo vikuu yana taathira kubwa katika kueneza mafunzo ya kitabu hicho cha Mwenyezi Mungu na kuimarisha umoja na mshikamano kati ya vijana wa madhehebu mbalimbali za Kiislamu.
2012 Sep 10 , 16:25
Mashindano ya 13 ya kimataifa ya Qur'ani Tukufu yamepangwa kufanyika tarehe 14 Oktoba katika mji mkuu wa Russia, Moscow.
2012 Sep 08 , 12:08
Nakala ndefe zaidi duniani ya Qur'ani Tukufu iliyoandikwa kwa hati za mkono juu kitambaa chenye urefu wa mita 208 inaonyeshwa katika mji wa Istanbul, Uturuki.
2012 Sep 05 , 22:19
Kasisi mwenye misimamo ya kupindukia mipaka wa madhehebu ya Kiprotestan nchini Marekani Terry Jones ameendeleza harakati zake za kupiga vita dini ya Uislamu kwa kutangaza nia yake eti ya kumfungulia mashtaka Mtume Muhammad (saw)!
2012 Sep 05 , 21:53
Karii wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ameshika nafasi ya kwanza katika sehemu ya kiraa ya mashindano ya kimataifa ya hifdhi na kiraa ya Qur’ani ya Tunisia.
2012 Sep 05 , 14:18
Mafunzo ya muda ya "Ijue Qur'ani Tukufu; Tajiriba ya Muujiza" yataanza tarehe 11 Septemba katika Msikiti wa Cape Town nchini Afrika Kusini.
2012 Sep 04 , 18:22
Sherehe ya kuhitimisha mashindano ya kimataifa ya hifdhi na kiraa ya Qur'ani Tukufu ya Tunisia zinafanyika leo katika ikulu ya Rais wa nchi hiyo.
2012 Sep 04 , 18:22
Nakala za Qurani zenye hati za braille (hati zinazotumiwa na walemavu wa macho au vipofu) zimesambazwa bure nchini Saudi Arabia na katika nchi nyingine za Kiislamu kwa juhudi za Jumuiya ya Masuala ya Kheri na Huduma za Walemavu wa Macho.
2012 Sep 03 , 21:37
Maulamaa na wananchi Waislamu wa Pakistan wametoa wito wa kusamehewa na kuachiwa huru msichana kijana wa Kirkisto aliyevunjia heshima Qur’ani Tukufu ambaye inasemekana anasumbuliwa na matatizo ya kiakili.
2012 Aug 29 , 14:54
Mahakama ya Marekani imetangaza adhabu ya askari wa jeshi la nchi hiyo waliochoma moto nakala za Qur’ani Tukufu mapema mwaka huu katika kituo cha anga cha Bagram huko Afghanistan.
2012 Aug 29 , 14:54
Nakala za kale na mpya za Qur'ani Tukufu zitaonyeshwa katika maonyesho ya kitamaduni na Kiislamu 2012 katika mji wa Istanbul huko Uturuki.
2012 Aug 28 , 20:44
Mashindano ya hifdhi ya Qur’ani Tukufu yamepangwa kufanyika kote Britani na Ireland ya Kusini mwezi baadaye mwaka huu.
2012 Aug 27 , 00:13