Katika haditi zake nyingi Imam Ja'far Swadiq (as) amekutambua kuwa mbali na Qur'ani Tukufu na Suna za Mtume (saw) kuwa ndiyo sababu kuu ya mifarakano na hitilafu zilizopo kati ya Waislamu na aliona kwamba iwapo Waislamu watarejea katika Qur'ani na Suna basi hitilafu na migawanyiko yao itapungua sana.
2012 Aug 13 , 11:14
Vyombo vya babari vya Algeria vimewatahadharisha viongozi wa nchi hiyo kuhusiana na kusambazwa nakala za Qur'ani Tukufu zilizo na upungufu wa sura.
2012 Aug 12 , 19:14
Kongamano la kimataifa la kuchunguza matatizo ya kutarjumu Qur'ani Tukufu kwa lugha zisizokuwa za Kiarabu limepangwa kufanyika nchini Pakistan kati ya tarehe 26 hadi 28 Februari mwakani.
2012 Aug 12 , 19:08
Kitengo cha Kimataifa katika Maonyesho ya Kimataifa ya 20 ya Qur'ani Tukufu mjini Tehran kimefungwa rasmi leo Jumapili katika sherehe maalumu.
2012 Aug 12 , 19:07
Wizara ya Elimu ya Senegal imetangaza kuwa kuanzia mwakani itaanza kutoa masomo ya Qur'ani Tukufu katika shule zote za umma nchini humo.
2012 Aug 12 , 19:05
Mwakishi mmoja wa Bunge la Misri ametangaza kuwa nakala elfu 40 za Qur'ani Tukufu zimechapishwa nchini humo zikiwa na juzuu 28 tu za Qur'ani Tukufu.
2012 Aug 12 , 13:56
Sherehe za kuwaenzi washindi wa mashindano ya 20 ya hifdhi na kiraa ya Qur'ani Tukufu ya kieneo nchini Senegal zilifanyika jana katika mji wa Thies nchini humo.
2012 Aug 11 , 20:13
Tafsiri ya sura ya Anfal ya Qur'ani Tukufu imepangwa kutolewa Septemba Mosi katika Chuo cha Queen Mary kinachofungamana na Chuo Kikuu cha London.
2012 Aug 11 , 17:11
Duru ya nne ya tamashala la kimataifa la kaligrafia ya Qur'ani Tukufu imeapangwa kufanyika siku ya Jumatatu tarehe 13 Agosti katika hoteli ya Grand Hyatt mjini Dubai kwa udhamini wa Wizara ya Utamaduni, Vijana na Ustawi ya Imarati.
2012 Aug 11 , 17:09
Televisheni ya al-Wataniya1 ya Tunisia imefanya jambo lisilo la kawaida nchini humo kwa kurusha hewani moja kwa moja mashindano ya Kiraa ya Qur'ani Tukufu.
2012 Aug 11 , 17:05
Waziri wa Wakfu wai Misri Tal’at Afifi amesema Qur’ani Tukufu ndio mhimili wa umoja wa Waislamu na chimbuko la heshima ya umma wa Kiislamu.
2012 Aug 09 , 06:11
Kwa mnasaba wa mwezi mtukufu wa Ramadhani, Chuo cha Kidini cha Darul Huda mjini Dar es Salaam Tanzania kimenadaa programu maalumu ya Qur’ani kwa ajili ya wanawake.
2012 Aug 09 , 06:08
Maqarii na mahufadh wa Qur’ani Tukufu kutoka nchi zisizo za Kiislamu wanaoshiriki katika Mashindano ya Kimataifa ya Qur'ani ya Wanafunzi wa Vyuo Vikuu wanapaswa kusaidiwa kwani wanakabiliwa na matatizo mengi ikiwa ni pamoja na ukosefu wa taasisi za Qur’ani na waalimu bora.
2012 Aug 09 , 06:05