Maqarii na mahufadh wa Qur’ani Tukufu kutoka nchi zisizo za Kiislamu wanaoshiriki katika Mashindano ya Kimataifa ya Qur'ani ya Wanafunzi wa Vyuo Vikuu wanapaswa kusaidiwa kwani wanakabiliwa na matatizo mengi ikiwa ni pamoja na ukosefu wa taasisi za Qur’ani na waalimu bora.
2012 Aug 09 , 06:05
Maonyesho ya sanaa ya kaligrafia ya Qur'ani Tukufu yalifunguliwa jana Jumanne huko katika mji wa Rawaplindi nchini Pakistan. Maonyesho hayo yameandaliwa na Baraza la Sanaa la mji huo RAC.
2012 Aug 08 , 17:28
Kikao cha masuala ya kiufundi cha Waandishi wa Qur’ani Tukufu kitafanyika Ijumaa ijayo katika chumba cha Darur Kitab katika Maonyesho ya Kimataifa ya 20 ya Qur’ani Tukufu mjini Tehran kikihudhuriwa na waandishi hodari wa nakala za Qur’ani.
2012 Aug 08 , 15:41
Mashindano ya Kimataifa ya Hifdhi na Kiraa ya Qur'ani Tukufu yaliyopewa jina la al Aqsa yalianza Jumatatu ya wiki hii katika mji wa Ramallah huko Palestina.
2012 Aug 08 , 15:40
Mashindano ya Kimataifa ya Hifdhi ya Qur’ani Tukufu Zawadi ya Dubai yanamalizika leo.
2012 Aug 08 , 15:39
Tamasha la 11 la wanaharakati wanawake wa Qur'ani Tukufu lilimalizika juzi katika makao makuu ya chama tawala cha Congress ya Kitaifa mjini Khartoum Sudan.
2012 Aug 07 , 13:37
Shirika la Habari za Qur’ani la Kimataifa IQNA limepongezwa kwa kuwa chombo cha habari kilichoakisi kwa njia bora zaidi Mashindano ya 16 ya Kimataifa ya Qur’ani Tukufu Dubai.
2012 Aug 07 , 13:34
Sherehe za kuenzi na kuwashukuru washiriki wa duru ya 18 ya mashindano ya kitaifa ya hifdhi, tajwidi na tafsiri ya Qur'ani Tukufu zilifanyika jana nchini Bahrain.
2012 Aug 07 , 13:31
Televisheni ya maarifa ya Ahlul Bait wa Mtume (saw) imekuwa ikirusha hewani vipindi tofauti vya usomaji na hifdhi ya Qur'ani Tukufu katika mwezi huu mtukufu wa Ramadhani.
2012 Aug 07 , 13:27
Duru ya 20 ya mashindano ya kimataifa ya Qur'ani Tukufu ilifunguliwa leo Jumanne mjini Cairo Misri.
2012 Aug 07 , 13:20
Maadui wanatekeleza njama nyingi dhidi ya umma wa Waislamu duniani na kwa hivyo kuna haja ya kuandaa hafla za kidini na Qur’ani kama vile Mashindano ya Kimataifa ya Qurani ya Wanachuo Waislamu ili kukabiliana na njama hizo.
2012 Aug 07 , 13:13
Mashirika ya Mambo ya Kheri yamesifiwa na kushukuriwa katika usiku wa kumi wa mashindano ya kimataifa ya Qur'ani Tukufu yanayoendelea huko Dubai kutokana na huduma zao muhimu kwa umma wa Kiislamu.
2012 Aug 06 , 17:57
Ahmad Taha, mwakilishi ya Palestina katika duru ya 16 ya mashindano ya kimataifa ya Qur'ani Tukufu mjini Dubai Imarati amesema kwamba uungaji mkono na msaada wa familia ni suala muhimu katika mafanikio ya kuhifadhi Qur'ani Tukufua.
2012 Aug 05 , 17:03