Ahmad Taha, mwakilishi ya Palestina katika duru ya 16 ya mashindano ya kimataifa ya Qur'ani Tukufu mjini Dubai Imarati amesema kwamba uungaji mkono na msaada wa familia ni suala muhimu katika mafanikio ya kuhifadhi Qur'ani Tukufua.
2012 Aug 05 , 17:03
Maonyesho ya kwanza ya nakala za Qur'ani zilizoandikwa kwa hati za mkono yalifunguliwa jana Ijumaa katika Maktaba ya Taifa ya Tunisia kwa hima ya mwambata wa kiutamaduni wa Iran.
2012 Aug 04 , 17:45
Mashindano ya kitaifa ya 14 ya hifdhi na Kiraa ya Qur'ani Tukufu yamepangwa kufanyika hivi karibuni katika Kituo cha Kiislamu kwa mnasaba wa mwezi mtukufu wa Ramadhani.
2012 Aug 04 , 16:52
Idhaa ya kwanza ya Qur'ani Tukufu jana Ijumaa ilianza kurusha hewani rasmi matangazo yake katika mji wa Nassiriya makao makuu ya mkoa wa Dhi Qar kusini mwa Iraq.
2012 Aug 04 , 16:46
Abdul Qadr Sarhan, mkuu wa idara inayosimamia mashindano ya kimataifa ya Qur'ani Tukufu nchini Misri amesema Wizara ya Wakfu na Masuala ya Kiislamu ya nchi hiyo inajiandaa kuandaa duru ya 20 ya mashindano hayo.
2012 Aug 04 , 16:43
Nusu fainali ya mashindano ya kiraa ya Qur'ani Tukufu inafanyika leo nchini Ufaransa.
2012 Aug 01 , 20:03
Kitengo cha kimataifa katika maonyesho ya kimataifa ya Qur'ani Takatifu ya mjini Tehran kimefunguliwa.
2012 Jul 31 , 19:46
Mashindano ya kitaifa ya hifdhi na kiraa ya Qur'ani Tukufu yamezinduliwa rasmi katika mji mkuu wa Guinea Conakry.
2012 Jul 31 , 18:01
Waziri Mkuu wa Malaysia Najib Tun Razaq amesema nchi yake inafanya juhudi za kushika nafasi ya pili katika kuchapicha nakala nyingi zaidi za Qur'ani duniani baada ya Saudi Arabia.
2012 Jul 31 , 18:00
Mashindano ya kimataifa ya kiraa ya Qur'ani Tukufu yalifanyika jana Jumatatu huko Islamabad mji mkuu wa Pakistan kwa mnasaba wa mwezi mtukufu wa Ramadhani.
2012 Jul 31 , 17:08
Kamati ya Mawasiliano ya Umma na Marekebisho inayofungamana na Chama cha Jihadul Islami cha Palestina imesambaza nuskha za Qur'ani Tukufu kwa wakazi wa mji wa Rafah katika Palestina inayokaliwa kwa mabavu na utawala haramu wa Israel.
2012 Jul 31 , 17:07
Washindi wa Tuzo ya Kimataifa ya Huduma kwa Qur'ani Tukufu jana usiku walienziwa na kutunukiwa zawadi katika sherehe maalumu zilizofanyika huko katika mji wa Jeddah Saudi Arabia.
2012 Jul 31 , 17:06
Mashindano ya saba ya tajweed na kuhifadhi Qur’ani Tukufu yamefanyika Qatif katika mkoa wa mashariki mwa Saudi Arabia.
2012 Jul 31 , 17:00