Mashindano ya saba ya tajweed na kuhifadhi Qur’ani Tukufu yamefanyika Qatif katika mkoa wa mashariki mwa Saudi Arabia.
2012 Jul 31 , 17:00
Kikao cha ‘Tafsiri ya Qur’ani Tukufu’ kimefanyika Julai 28 chini ya usimamizi wa Taasisi ya Ahul Bayt AS katka Msikiti wa Jamia Lagos.
2012 Jul 31 , 16:57
Uchapishaji wa nakala za Qur'ani zenye rangirangi nchini Saudi Arabia umezusha misimamo tofauti kati ya waungaji mkono na wapinzani wa hatua hiyo.
2012 Jul 30 , 16:11
Mwanazuoni mmoja wa Misri ameipongeza Jamhuri ya Kiislamu ya Iran kwa mpango wake wa kuhakikisha kuna watu milioni 10 waliohifadhi Qur’ani nzima nchini.
2012 Jul 30 , 16:11
Kituo cha Mashia cha Ithna-Asheri mjini New York nchini Marekani kimepanga kuandaa mashindano ya hifdhi na kiraa ya Qur'ani Tukufu kwa mnasaba wa mwezi mtukufu wa Ramadhani.
2012 Jul 30 , 12:23
Kitengo cha kimataifa katika maonyesho ya kimataifa ya Qur'ani Takatifu ya mjini Tehran ambayo yamekuwa yakiendelea tokea kabla ya kuanza mwezi mtukufu wa Ramadhani, kinatazamiwa kufunguliwa leo Jumatatu.
2012 Jul 30 , 12:13
Serikali ya Nigeria ina lengo la kuandaa mashindano ya uandishi makala na usomaji wa Qur'ani Tukufu maalumu kwa wanafunzi katika jimbo la Ugon katika mwezi huu mtukufu wa Ramadhani.
2012 Jul 29 , 16:34
Wiki ya Hifdhi ya Qur’ani Tukufu itaanza tarehe 1 Agosti nchini Ubelgiji chini ya usimamizi wa Shirika la Elimu, Sayansi na Utamaduni la Jumuiya ya Ushirikiano wa Kiislamu (ISESCO).
2012 Jul 29 , 16:32
Maonyesho ya tatu ya kimataifa ya bidhaa halali na salama imepangwa kufanyika tarehe 11 hadi 14 Oktoba mjini Istanbul, Uturuki.
2012 Jul 29 , 16:32
Wizara ya Masuala ya Dini na Wakfu ya Algeria imetangaza kuwa duru ya 9 ya mashindano ya kimataifa ya hifdhi na tajwidi ya Qur’ani itaanza nchini humo tarehe 20 Ramadhani ikishirikisha makarii kutoka nchi 45 duniani.
2012 Jul 29 , 16:25
Kituo kipya cha Qur'ani Tukufu kwa jina la Hamid bin Rashid an-Nuimi kimefunguliwa katika ufalme wa Ajman katika Umoja wa Falme za Kiarabu.
2012 Jul 29 , 16:24
Nakala ndogo zaidi ya Qur'ani Tukufu iliyotengenezwa na msanii Ranin Akbar Khanzadeh wa Iran imenakshiwa katika ukurasa mmoja nusu wa madini ya fedha wenye kipimo sawa na cha karatasi ya A4.
2012 Jul 28 , 18:59
Mashindano ya kimataifa ya 11 ya Qur'ani Tukufu yameanza huko Dubai katika Umoja wa Falme za Kiarabu.
2012 Jul 28 , 18:59