TEHRAN (IQNA)- Waziri wa Awqaf nchini Misri Sheikh Mukhtar Gomaa amekutana na Katibu Mkuu wa Akademia ya Kimataifa ya Fiqhi Sheikh Koutoub Mustafa Sano kujadili njia ya kukabiliana na misimamo mikali ya kidini.
Habari ID: 3474077 Tarehe ya kuchapishwa : 2021/07/07
TEHRAN (IQNA) – Mkuu wa Akademia ya Elimu, Utamaduni na Utafiti Iran (ACECR) amesema academia hiyo inapaswa kuongoza duniani katika ustawi wa sayansi na teknolojia.
Habari ID: 3473037 Tarehe ya kuchapishwa : 2020/08/05