iqna

IQNA

hebron
Jinai za Israel
TEHRAN (IQNA) - Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina (Hamas) imelaani uamuzi wa utawala ghasibu wa Israel kuwazuia Waislamu kuingia katika Msikiti wa Nabii Ibrahim (AS) katika mji unaokaliwa kwa mabavu wa Al Khali (Hebron) katika Ukingo wa Magharibi wa Mto Jordan.
Habari ID: 3475925    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/10/13

TEHRAN (IQNA)- Afisa mwandamizi wa Palestina amesema askari wa utawala wa Kizayuni wa Israel wameuhujumu tena Msikiti wa Nabii Ibrahim -Amani ya Mwenyezi Mungu iwe Juu Yake- kwa lengo la Kuyahudisha eneo takatifu la Waislamu.
Habari ID: 3474940    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/02/17

TEHRAN (IQNA)- Utawala wa Kizayuni wa Israel umefunga Msikiti wa Nabii Ibrahim AS katika mji wa Al Khalil (Hebron) ulio katika eneo Ukingo wa Magharibi wa Mto Jordan, linalokaliwa kabavu na utawala huo ghasibu, kwa lengo la kutekeleza hafla ya Kizayuni-Kiyahudi katika eneo hilo.
Habari ID: 3474325    Tarehe ya kuchapishwa : 2021/09/22