iqna

IQNA

moyo
Uhakika katika Qur'ani Tukufu / 2
TEHRAN (IQNA) - Wanasayansi wamefikia natija kwamba moyo sio tu unasukuma damu, lakini pia unaelewa, unafikiri, na unaamuru na hii inaendana na kile aya za Qur'ani Tukufu zinavyosema.
Habari ID: 3476059    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/11/09

TEHRAN (IQNA)- Jumuiya ya Madaktari wa Kiislamu Pakistan (PIMA) inapanga kuandaa warsha za kuokoa maisha kwa wananchi katika misikiti kote Pakistan.
Habari ID: 3474339    Tarehe ya kuchapishwa : 2021/09/25