iqna

IQNA

iraq
Shughuli za Qur'ani Tukufu
TEHRAN (IQNA) – Kozi ya kiwango cha juu ya Qur’ani Tukufu imeandaliwa kwa ajili ya wanafunzi wa Afrika wanaosoma sayansi ya Kiislamu katika vyuo vya Kiislamu vya mji mtakatifu wa Najaf, Iraq.
Habari ID: 3476030    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/11/03

Hali ya Iraq
TEHRAN (IQNA)- Bunge la Iraq limeipasisha serikali ya Waziri Mkuu Mohammad Shia al-Sudani baada ya kuipigia kura ya kuwa na imani nayo.
Habari ID: 3475998    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/10/28

Sala ya Ijumaa Tehran
TEHRAN (IQNA)- Hatibu wa Sala ya Ijumaa mjini Tehran amepongeza hatua ya Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu (IRGC) ya kushambulia ngome za magaidi wanaotaka kujitenga huko kaskazini mwa Iraq na kusema: Usalama wa Iran hauwezi kufumbumbiwa macho hata kidogo.
Habari ID: 3475858    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/09/30

Matembezi ya Arbaeen
TEHRAN (IQNA) – Kikosi cha Kujitolea cha Wananchi wa Iraq (PMU) kimegundi maroketi katika mji mtakatifu wa Karbala wakati siku ya Arbaeen inapokaribia huku idadi kubwa ya wafanyaziara wakiwa wamekusanyika kwenye mji huo mtakatifu.
Habari ID: 3475775    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/09/13

Mgogoro wa kisiasa Iraq
Wizara ya Mashauri ya Kigeni ya Iran ilitoa tamko kuhusiana na matukio ya hivi majuzi nchini Iraq na kusisitiza kuwa: "Tehran daima inataka Iraq yenye utulivu, salama na yenye nguvu."
Habari ID: 3475708    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/08/31

Mgogoro wa Iraq
TEHRAN (IQNA)- Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran amesisitiza haja ya kuhifadhiwa umoja wa kitaifa wa Iraq, akisema matatizo ya nchi hiyo yanapaswa kutatuliwa kwa njia za kisheria.
Habari ID: 3475702    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/08/30

Umoja wa Kiislamu
TEHRAN (IQNA) – Khatibu wa Kisunni wa Iraq anasema utawala wa Kizayuni wa Israel unapanda mbegu za mifarakano kati ya mataifa ya Kiislamu ili kufikia malengo yake.
Habari ID: 3475651    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/08/20

TEHRAN (IQNA) – Afisa wa Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Najaf nchini Iraq amesema uwanja huo umeandaliwa kupokea zaidi ya safari 200 za ndege kila siku kuanzia siku ya kwanza ya mwezi wa Hijri wa Safar unaotazamiwa kuanza Agosti 29.
Habari ID: 3475632    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/08/16

Ibada ya Hija na Umrah
TEHRAN (IQNA)- Waziri Mkuu wa Iraq Musafa al Kadhimi ametekeleza Hija ndogo ya Umrah akiwa katika ziara rasmi nchini Saudi Arabia.
Habari ID: 3475429    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/06/26

Mapambano dhidi ya utawala haramu wa Israel
TEHRAN (IQNA)- Alkhamisi tarehe 26 Mei, 2022, Bunge la Iraq lilipasisha kwa kauli moja sheria ya kutambua kuwa ni uhalifu, hatua yoyote ya kuweka uhusiano wa kawaida baina ya nchi hiyo na utawala wa Kizayuni wa Israel.
Habari ID: 3475306    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/05/28

TEHRAN (IQNA)- Maelfu ya waumini wameshiriki katika Sala ya Idul Fitr katika eneo lililo baina ya Haram Mbili Takatifu za Imam Hussein AS na Hadhrat Abbas AS linalojulikana kama Bayn al-Haramayn katika mjini Karbala, Iraq.
Habari ID: 3475203    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/05/04

Hadi al-Amiri
TEHRAN (IQNA)- Mkuu wa Muungano wa Fat'h nchini Iraq amesema kuwa, kuanzisha uhusiano wa kawaida na utawala ghasibu wa Israel ni hatua ambayo haikubali kwa namna yoyote ile.
Habari ID: 3475189    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/04/30

TEHRAN (IQNA)-Idara ya Mfawidhi wa Haram ya Hadhrat Abbas AS katika mji wa Karbala, Iraq imeandaa mpango maalumu kwa ajili ya wanafunzi Waafrika wanaosoma katika vyuo vya Kiislamu mjini Najaf.
Habari ID: 3474959    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/02/22

TEHRAN (IQNA)- Waziri Mkuu wa Iraq ametoa mkono wa pongezi kufuatia kuchaguliwa kwa mara ya pili Mohammed al Halbousi kuwa Spika mpya wa Bunge la Iraq katika duru ya pili ya utendaji wa bunge hilo.
Habari ID: 3474788    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/01/10

TEHRAN (IQNA)- Rais Barham Salih wa Iraq amesema mashahidi Luteni Jenerali Qassem Soleimani na Abu Mahdi al Muhandis walikuwa na nafasi muhimu sana katika vita dhidi ya magaidi nchini humo hasa magaidi wa ISIS au Daesh.
Habari ID: 3474769    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/01/05

TEHRAN (IQNA)- Maelfu ya wananchi wa Iraq wamekusanyika katika sehemu ilipotokea jinai ya kumuua kigaidi Luteni Jenerali Qasem Soleimani karibu na Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Baghdad kwa mnasaba wa tarehe 3 Januari, na kumbukumbu ya mwaka wa pili wa tangu kutokea jinai hiyo.
Habari ID: 3474761    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/01/03

TEHRAN (IQNA) – Msikiti wa matope uliojengwa katika zama za utawala wa Bani Ummaya umegunduliwa nchini Iraq.
Habari ID: 3474607    Tarehe ya kuchapishwa : 2021/11/27

Khatibu wa Sala ya Ijumaa Tehran
TEHRAN (IQNA)- Khatibu wa Sala ya Ijumaa mjini Tehran amesema leo masuala ya Iraq na Afghanistan ni muhimu kwa ulimwengu wa Kiislamu.
Habari ID: 3474545    Tarehe ya kuchapishwa : 2021/11/12

TEHRAN (IQNA)- Wasomaji wawili maarufu wa Qur'ani Iraq, Ali Al Khafafi na Hani al Khazali hivi karibuni wamesambaza klipu wakiwa wanasoma Sura Al Fatiha na Sura Ad Dhuha kwa mbinu ya Lami Maqam
Habari ID: 3474531    Tarehe ya kuchapishwa : 2021/11/09

TEHRAN (IQNA)- Rais Barham Salih wa Iraq amelaani jaribio la mauaji dhidi ya Waziri Mkuu wa nchi hiyo Mustafa al-Kadhimi.
Habari ID: 3474526    Tarehe ya kuchapishwa : 2021/11/07