iqna

IQNA

umrah
Ibada ya Umrah
TEHRAN (IQNA) – Katika mpango uliobuniwa na mamlaka ya Saudia, Waislamu wapya 100 walitembelea Msikiti Mtakatifu wa Makka na Msikiti wa Mtume SAW mjini kutekeleza ibada ya Hija ndogo ya Umrah kwa mara ya kwanza.
Habari ID: 3476323    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/12/29

Hiija na Umrah
TEHRAN (IQNA) - Kwa mujibu wa takwimu za hivi punde zaidi zilizotolewa na mamlaka ya Saudia, Waislau watu milioni 30 wanaoshiriki ibada ya Hija ndogo ya Umrah wamepokea huduma za hiari katika Msikiti Mtakatifu Mkuu wa Makka, Al Masjid al Haram, mwaka huu wa Hijria Qamaria.
Habari ID: 3476212    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/12/07

Ibada ya Umrah
TEHRAN (IQNA) – Usajili wa alama za vidole utakuwa wa lazima ili kutoa visa kwa wanaotaka kuingia Saudi Arabia kushiriki Hija ndogo ya Umrah.
Habari ID: 3476195    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/12/04

Hija ndogo ya Umrah
TEHRAN (IQNA) – Mamlaka ya Saudia inasema visa ya Hija Ndogo ya Umrah imeongezwa kutoka mwezi mmoja hadi mitatu kwa mataifa yote.
Habari ID: 3475875    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/10/03

Ibada ya Umrah
TEHRAN (IQNA) – Waumini ambao hawajachanjwa sasa wanaruhusiwa kuingia katika maeneo mawili matakatifu zaidi ya Uislamu ambayo ni Msikiti Mtakatifu wa Makka (Masjid al-Haram) na Msikiti wa Mtume (Al-Masjid an-Nabawi) mjini Madina.
Habari ID: 3475574    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/08/03

Ibada ya Umrah
TEHRAN (IQNA)- Ofisi ya Urais Mkuu wa Masuala ya Misikiti Miwili Mitukufu ya Makka na Madina imepokea kundi la kwanza la Waislamu waliongia Saudia kutekeleza ibada ya Hija ndogo ya Umrah Jumamosi.
Habari ID: 3475563    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/07/31

Ibada ya Umrah
TEHRAN (IQNA) - Mamlaka ya Saudia inasema wanaoshiriki katika Hija ndogo ya Umrah wanahitaji kuvaa barakoa kwenye Msikiti Mtakatifu wa Makka kama hatua ya tahadhari kufuatia kuongezeka maambukizi ya COVID-19.
Habari ID: 3475547    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/07/27

Umrah
TEHRAN (IQNA) – Wizara ya Hija na Umra ya Saudi Arabia ilitangaza kurejesha utoaji wa visa za Umrah baada ya kusitishwa wakati wa msimu wa Hija.
Habari ID: 3475511    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/07/16

Ibada ya Hija na Umrah
TEHRAN (IQNA)- Waziri Mkuu wa Iraq Musafa al Kadhimi ametekeleza Hija ndogo ya Umrah akiwa katika ziara rasmi nchini Saudi Arabia.
Habari ID: 3475429    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/06/26

TEHRAN (IQNA)- Hivi sasa roboti zinatumika kuwaongoza Waislamu wanaofika katika Msikiti Mtakatifu wa Makka kwa ajili ya kutekeleza ibada ya Hija Ndogo ya Umrah.
Habari ID: 3475258    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/05/16

TEHRAN (IQNA)- Msimu wa sasa wa Hija ndogo ya Umrah kwa Waislamu kutoka nje ya Saudia utamalizika katika siku ya mwisho ya Mwezi wa Shawwal ambayo inatarajiwa kusadifina na Mei 31.
Habari ID: 3475177    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/04/27

TEHRAN (IQNA)- Maafisa wa usalama Saudi Arabia wamemkamata raia wa Palestina aliyekuwa akitekeleza ibada ya Umrah katika mji wa Mtakatifu wa Makka kwa sababu tu aliomba dua ya kukombolewa Msikiti wa Al Aqsa unaokaliwa kwa mabavu na utawala wa Kizayuni wa Israel.
Habari ID: 3475144    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/04/19

TEHRAN (IQNA)- Idadi ya Waislamu wanaokusudia kutekeleza ibada ya Hija ndogo au Umrah katika Mwezi Mtukufu wa Ramadhani inazidi kuongezeka.
Habari ID: 3475028    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/03/10

TEHRAN (IQNA)- Iran imetangaza kuwa tayari kuwatuma wananchi wake kuenda Saudi Arabia kutekeleza ibada ya Umrah iwapo masharti yatatimizwa.
Habari ID: 3474826    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/01/19

TEHRAN (IQNA) – Wizara ya Hija na Umrah Saudi Arabia imetangaza kuendelea marufuku ya kugusa Hajar Al Aswad (Jiwe Jeusi) na kuswali katika Hijr Ismail katika Msikiti Mtakatifu wa Makka.
Habari ID: 3474699    Tarehe ya kuchapishwa : 2021/12/20

TEHRAN (IQNA)- Idhini ya kutekeleza Hija ndogo ya Umrah kwa wale wanaotoka nje ya Saudia itajumuisha tu wale wenye umri wa kuanzia miaka 18 hadi 50.
Habari ID: 3474578    Tarehe ya kuchapishwa : 2021/11/19

TEHRAN (IQNA) = Huduma mpya imezinduliwa kwa ajili ya Waislamu walionje ya Saudi Arabia ambao wanataka kutekeleza Hija ndogo ya Umrah.
Habari ID: 3474555    Tarehe ya kuchapishwa : 2021/11/14

TEHRAN (IQNA)- Zaidi ya lita milioni 1.2 za maji ya Zamzam zimesambazwa miongoni mwa wanaofanya ziara katika Msikiti Mtakatifu wa Makka (Masjid al-Haram) katika kipindi cha miezi mitatu iliyopita.
Habari ID: 3474552    Tarehe ya kuchapishwa : 2021/11/13

TEHRAN (IQNA)- Idadi ya Waislamu watakaruhusiwa kutekelelza Hija ndogo au Umrah na kuswali katika Msikiti Mtakatifu wa Makka (Masjid al-Haram) imeongezeka hadi laki moja kwa siku kuanzia Oktoba Mosi.
Habari ID: 3474369    Tarehe ya kuchapishwa : 2021/10/01

TEHRAN (IQNA) – Wizara ya Hija na Umrah Saudi Arabia imeongeza idadi ya waumini wanaoweza kutekeleza ibada Umrah kila siku hadi 70,000.
Habari ID: 3474272    Tarehe ya kuchapishwa : 2021/09/08