IQNA

Kubeba kadi ya Nusuk katika Hija ni wajibu; Je, ikipotea ufanyeje?

Kubeba kadi ya Nusuk katika Hija ni wajibu; Je, ikipotea ufanyeje?

IQNA – Kubeba kadi ya Nusuk ndani ya Saudi Arabia ni sharti kwa walio katika safari ya Hijja kwani ina taarifa muhimu. Lakini itakuwaje iwapo atapoteza?
10:57 , 2025 May 08
Kisomo cha Mbinguni: Msikilize Sheikh Abdulaziz Ali Faraj  akisoma aya ya Surah Maryam Surah

Kisomo cha Mbinguni: Msikilize Sheikh Abdulaziz Ali Faraj akisoma aya ya Surah Maryam Surah

IQNA- Ifuatayo ni qiraa (kisomo) ya aya 12 ya Surah Maryam ikisomwa na qarii wa Misri Sheikh Abdulaziz Ali Faraj.
10:32 , 2025 May 08
Ayatullah Javadi Amoli: Qur'ani Tukufu huwa na ujumbe mpya kwa kila zama

Ayatullah Javadi Amoli: Qur'ani Tukufu huwa na ujumbe mpya kwa kila zama

IQNA – Qur'ani Tukufu daima hubeba ujumbe mpya kwa kila kipindi, amesema mwanazuoni mwandamizi wa Kiislamu Ayatullah Abdollah Javadi Amoli.
10:06 , 2025 May 08
Hujuma ya India imeua watu 13 msikitini nchini Pakistan

Hujuma ya India imeua watu 13 msikitini nchini Pakistan

IQNA- Watu 13 Wauawa Katika Shambulio la India Kwenye Msikiti wa Pakistan: Afisa Shambulio la kombora la India kwenye msikiti huko Bahawalpur, mji katika Punjab ya Pakistan, afisa wa Pakistani alisema. Afisa huyo aliongeza kuwa wanawake na watoto walikuwa miongoni mwa waliouawa katika shambulio hilo.
22:16 , 2025 May 07
Ayatullah Khamenei: Kazi muhimu ya Hauza ni kufikisha ujumbe wa ustaarabu mpya wa Kiislamu

Ayatullah Khamenei: Kazi muhimu ya Hauza ni kufikisha ujumbe wa ustaarabu mpya wa Kiislamu

IQNA-Katika ujumbe wake kwa kongamano la "Miaka 100 wa Kuanzishwa Hauza ya Qum nchini Iran," Kiongozi wa Mapinduzi ya Kiislamu amesisitiza kuwa: "Kazi muhimu zaidi ya Hauza na taasisi ya kielimu ya vyuo vikuu vya kidini, ni kufikisha ujumbe wa wazi na kuweka msingi wa ustaarabu mpya wa Kiislamu."
21:36 , 2025 May 07
Uzinduzi wa Msikiti wa Al-Mustafa na Kituo cha Kuhifadhi Qur'ani katika mji mkuu wa Ghana

Uzinduzi wa Msikiti wa Al-Mustafa na Kituo cha Kuhifadhi Qur'ani katika mji mkuu wa Ghana

IQNA – Msikiti mpya umezinduliwa katika mji mkuu wa Ghana kwa ufadhili wa Taasisi ya Misaada ya Qatar .
16:57 , 2025 May 07
Ayatullah Khamenei amjulia hali mwanazuoni aliyelazwa hospitalini

Ayatullah Khamenei amjulia hali mwanazuoni aliyelazwa hospitalini

IQNA – Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu, Ayatullah Seyed Ali Khamenei, alimtembelea Ayatullah Hossein Ali Nouri Hamedani katika hospitali moja mjini Tehran.
16:49 , 2025 May 07
Uanzishwaji wa Sekretarieti ya Kudumu kwa Mashindano ya Kimataifa ya Qur'ani ya Iran 

Uanzishwaji wa Sekretarieti ya Kudumu kwa Mashindano ya Kimataifa ya Qur'ani ya Iran 

IQNA – Mkutano umefanyika Tehran Jumatatu ili kujadili mikakati ya kuendeleza vipengele vya kimataifa vya Mashindano ya Kimataifa ya Qur'ani Tukufu ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran. 
23:58 , 2025 May 06
Maktaba ya Kitaifa ya Misri inahifadhi hati adimu za Qur’ani kutoka historia ya Kiislamu

Maktaba ya Kitaifa ya Misri inahifadhi hati adimu za Qur’ani kutoka historia ya Kiislamu

IQNA-Maktaba na Makavazi ya Kitaifa ya Misri, inayojulikana kama Dar Al-Kutub, inahifadhi mkusanyiko wa kipekee wa hati za Qur’ani za kale na za kihistoria, baadhi yake zikiwa na zaidi ya miaka elfu moja.
23:49 , 2025 May 06

"Tuko Katika Ahadi": Kaulimbiu Kuu ya Matembezi  ya Arbaeen    

IQNA-Iran imetangaza kaulimbiu rasmi ya matembezi adhimu ya ya Arbaeen mwaka 1447 (2025), ni Inna Ala Al-Ahd" (Tuko Katika Ahadi") ili kuonyesha uaminifu kwa maadili ya Imam Hussein (AS). 
23:38 , 2025 May 06
Huduma za kidijitali zinazotumia Akili Mnemba kuwasaidia Mahujaji

Huduma za kidijitali zinazotumia Akili Mnemba kuwasaidia Mahujaji

IQNA – Mpango mpana wa uendeshaji kwa msimu wa Hija utazinduliwa nchini Saudi Arabia, huku tangazo rasmi likipangwa kutolewa Alhamisi. 
23:19 , 2025 May 06
Tuzo  ya Kimataifa ya Qur’ani ya Karbala: Raundi ya pili ya hatua ya awali yaanza

Tuzo  ya Kimataifa ya Qur’ani ya Karbala: Raundi ya pili ya hatua ya awali yaanza

IQNA-Taasisi ya Dar-ol-Quran ya Idara ya Mfawidhi wa Haram tukufu ya Imam Hussein (AS) imetangaza kuanza kwa raundi ya pili katika hatua ya awali ya Tuzo ya Nne ya Kimataifa ya Qur'ani ya Karbala.
22:48 , 2025 May 06
Picha: Haram ya Imam Ridha (AS) yawakaribisha maelfu ya vijana wanaojifunza Qur’ani

Picha: Haram ya Imam Ridha (AS) yawakaribisha maelfu ya vijana wanaojifunza Qur’ani

IQNA – Takribani vijana 5,000 wanaojifunza Qur’ani walikusanyika katika haram ya Imam Ridha (AS) huko Mashhad mnamo Mei 3, 2025, kusoma Qur’ani Tukufu wakati wa sherehe za kumbukumbu ya kuzaliwa kwa Imam huyo wa nane wa Waislamu wa madhehebu ya Shia.
16:45 , 2025 May 05
Saudi Arabia yaanzisha kampeni ya kukabiliana na utapeli katika Hija

Saudi Arabia yaanzisha kampeni ya kukabiliana na utapeli katika Hija

IQNA – Mamlaka za Saudi Arabia zimewakamata raia watano wa kigeni huko Khamis Mushayt, katika mkoa wa Asir kusini mwa nchi, kwa kuhusika na mpango wa kuwatapeli Mahujaji.
16:40 , 2025 May 05
Operesheni ya usafi yafanyika katika Haram Takatifu ya Imam Ridha (AS) wakati wa Wiki ya Karamat

Operesheni ya usafi yafanyika katika Haram Takatifu ya Imam Ridha (AS) wakati wa Wiki ya Karamat

IQNA – Operesheni maalumu ya usafi imefanyika katika haram takatifu ya Imam Ridha (AS) huko Mashhad, kaskazini mashariki mwa Iran, siku ya Jumamosi, kabla ya kumbukumbu ya kuzaliwa kwa Imam huyo wa nane wa Waislamu wa madhehebu ya Shia.
16:28 , 2025 May 05
15