IQNA

Ansarullah iko tayari kurejea kwa nguvu zaidi katika uwanja wa mapambano dhidi ya adui

Ansarullah iko tayari kurejea kwa nguvu zaidi katika uwanja wa mapambano dhidi ya adui

IQNA-Kiongozi wa harakati ya Ansarullah nchini Yemen amesisitiza katika hotuba yake kuwa, iwapo makubaliano ya kusitisha vita huko Gaza yatakiukwa, wananchi wa Yemen wako tayari kurejea kwa nguvu zaidi katika mapambano dhidi ya utawala wa Kizayuni.
10:51 , 2025 Oct 22
20