IQNA

Islamabad yaandaa Mashindano ya Kwanza ya Kimataifa ya Qur'ani Nchini Pakistan

Islamabad yaandaa Mashindano ya Kwanza ya Kimataifa ya Qur'ani Nchini Pakistan

IQNA – Mashindano ya kwanza ya kimataifa ya usomaji wa Qur'ani nchini Pakistan yameanza rasmi Jumatatu katika mji mkuu wa Islamabad.
10:56 , 2025 Nov 25
“Ubaguzi wa Wazi”: Taharuki Katika Seneti ya Australia Baada ya Mbunge wa Mrengo Mkali Kuvaa Burka

“Ubaguzi wa Wazi”: Taharuki Katika Seneti ya Australia Baada ya Mbunge wa Mrengo Mkali Kuvaa Burka

IQNA – Seneta mwenye msimamo mkali wa mrengo wa kulia nchini Australia, Pauline Hanson, ameibua hasira kali Jumatatu baada ya kuingia bungeni akiwa amevaa vazi la Waislamu la burka, kama sehemu ya juhudi zake za mara kwa mara za kutaka vazi hilo lipigwe marufuku kwa sababu eti wanaovaa hufunika uso wote hadharani.
10:49 , 2025 Nov 25
Waislamu Ufaransa walalamikia IFOP kwa upendeleo na ukiukaji wa maadili

Waislamu Ufaransa walalamikia IFOP kwa upendeleo na ukiukaji wa maadili

IQNA – Mashirika kadhaa ya Kiislamu nchini Ufaransa yamekosoa taasisi ya utafiti wa maoni ya wananchi, IFOP, kwa kile walichokiita upendeleo wa wazi na kuvunja viwango vya maadili ya kitaaluma.
10:40 , 2025 Nov 25
Khuzestan ya Iran na Basra ya Iraq Kuimarisha Ushirikiano Katika Masuala ya Qur'ani

Khuzestan ya Iran na Basra ya Iraq Kuimarisha Ushirikiano Katika Masuala ya Qur'ani

IQNA – Jumamosi iliyopita, kikao cha kuandaa hati ya makubaliano ya ushirikiano katika shughuli za Qur'ani Tukufu kati ya Mkoa wa Khuzestan nchini Iran na Mkoa wa Basra nchini Iraq kimefanyika mjini Basra.
10:37 , 2025 Nov 25
Maonyesho ya Pili ya Sanaa ya Qur’an kwa Teknolojia ya AI Yafunguliwa Tehran

Maonyesho ya Pili ya Sanaa ya Qur’an kwa Teknolojia ya AI Yafunguliwa Tehran

IQNA – Maonyesho ya pili ya kazi za Qur’ani Tukufu zilizotengenezwa kwa teknolojia ya Akili Mnemba (AI) yamezinduliwa mjini Tehran, yakionyesha kazi 100 zilizochaguliwa kutoka kwa vijana na chipukizi.
14:37 , 2025 Nov 23
Vikundi vya Usomaji Qur’an Katika Misikiti ya Misri Vimepokelewa Vyema

Vikundi vya Usomaji Qur’an Katika Misikiti ya Misri Vimepokelewa Vyema

IQNA – Vikundi vya usomaji Qur’an katika misikiti ya Mkoa wa Kaskazini mwa Sinai, Misri, vimepokelewa kwa shangwe na raia wa Kimasri.
14:30 , 2025 Nov 23
Korea Kusini Yafungua Jumba la Kwanza la Sanaa ya Kiislamu la Kudumu Seoul

Korea Kusini Yafungua Jumba la Kwanza la Sanaa ya Kiislamu la Kudumu Seoul

IQNA – Korea Kusini imezindua jumba lake la kwanza la kudumu la sanaa ya Kiislamu katika Makumbusho ya Taifa ya Korea mjini Seoul.
14:19 , 2025 Nov 23
Mwandishi wa Morocco asema hadhi ya Bibi Fatima (AS) ‘Yazidi Wanawake Wote wa Nyakati Zote’

Mwandishi wa Morocco asema hadhi ya Bibi Fatima (AS) ‘Yazidi Wanawake Wote wa Nyakati Zote’

IQNA – Mwandishi wa Morocco amesema kuwa hadhi ya kipekee ya Bibi Fatima (AS) inatokana na sifa za kiroho ambazo, kwa hoja zake, zinamweka binti wa Mtume Muhammad (SAW) juu ya wanawake wote katika historia.
14:05 , 2025 Nov 23
Hatua za Mwisho za Mashindano ya Qur’an ya Sheikh Jassim yafanyika Doha

Hatua za Mwisho za Mashindano ya Qur’an ya Sheikh Jassim yafanyika Doha

IQNA-Hatua ya mwisho ya Mashindano ya Qur’an ya Sheikh Jassim bin Mohammed bin Thani, toleo la 30, inaendelea mjini Doha, Qatar ikihusisha mashindano ya wazi kwa wahifadhi kamili na sehemu.
13:44 , 2025 Nov 23
Klipu | Tilaawa ya Surah Al-Kawthar kwa Sauti ya Ustadh Ja‘far Fardi

Klipu | Tilaawa ya Surah Al-Kawthar kwa Sauti ya Ustadh Ja‘far Fardi

Tehran – Ustadh Ja‘far Fardi, qari mashuhuri wa kimataifa kutoka Iran, usiku wa Ijumaa tarehe 30 Jumada l-Ula , alisoma ya aya tukufu za Qur’ani katika usiku wa kwanza wa maombolezo ya Bibi Fatima Zahra (AS) ndani ya Husseiniyya ya Imam Khomeini (MA) jijini Tehran.
15:51 , 2025 Nov 22
Aya za Qur'ani na Hadithi zinasemaje kuhusu Istighfar

Aya za Qur'ani na Hadithi zinasemaje kuhusu Istighfar

IQNA-Katika aya za Qur’ani Tukufu na Hadith za Maimamu Maasumu (amani iwe juu yao), Istighfar , yaani kuomba msamaha kwa Mwenyezi Mungu, imepewa msisitizo mkubwa na kutambulishwa kwa upekee.
15:41 , 2025 Nov 22
Japan yaandaa Mashindano ya 26 ya Qur’ani Tukufu

Japan yaandaa Mashindano ya 26 ya Qur’ani Tukufu

IQNA – Taasisi ya Kiislamu ya Japan (Japan Islamic Trust) imetangaza rasmi maelezo ya usajili pamoja na hatua za awali na za mwisho za Mashindano ya 26 ya Kitaifa ya Usomaji na Uhifadhi wa Qur’ani Tukufu.
15:34 , 2025 Nov 22
Ripoti yabaini ongezeko kubwa la hujuma dhidi ya Misikiti Uholanzi

Ripoti yabaini ongezeko kubwa la hujuma dhidi ya Misikiti Uholanzi

IQNA – Ripoti mpya imeonesha kuwa matukio ya vurugu na hujuma dhidi ya misikiti nchini Uholanzi yameongezeka kwa kiwango kikubwa katika kipindi cha muongo uliopita, kwa mujibu wa utafiti wa mtandao wa misikiti K9.
15:30 , 2025 Nov 22
Mkutano wa 38 wa Waislamu Amerika ya Kusini na Karibiani Wafanyika Brazil

Mkutano wa 38 wa Waislamu Amerika ya Kusini na Karibiani Wafanyika Brazil

IQNA – Mkutano wa 38 wa Kimataifa wa Waislamu wa Amerika ya Kusini na Karibiani unafanyika nchini Brazil, ukikusanya viongozi wa Kiislamu kujadili mada ya vijana Waislamu katika enzi ya akili mnemba (AI).
15:25 , 2025 Nov 22
Mwanamume akamatwa akiingia Msikiti nchini Marekani akiwa na Bunduki

Mwanamume akamatwa akiingia Msikiti nchini Marekani akiwa na Bunduki

IQNA – Jeshi la Polisi wa Kaunti ya Richland limethibitisha kukamatwa kwa mwanamume aliyeingia msikiti mmoja wa South Carolina, Marekani, wakati wa sala huku akiwa na bunduki aina ya AR-15.
15:18 , 2025 Nov 22
9