iqna

IQNA

shebaa
TEHRAN (IQNA)- Harakati ya Hizbullah ya Lebanon imetoa taarifa na kusema wapiganaji wake wa kituo cha Shahidi Ali Muhsin Kamel na Shahidi Muhammad Qassim Tahal wamejibu mashambulizi ya karibuni ya utawala wa Kizayuni wa Israel dhidi ya ardhi ya Lebanon kwa kuvurumisha maroketi kadhaa dhidi ya vituo vya kijeshi vya utawala huo.
Habari ID: 3474165    Tarehe ya kuchapishwa : 2021/08/06