IQNA – Lengo la elimu ya Qur’ani linapaswa kwenda mbali zaidi ya kuhifadhi, kuelekea kuunda “watu wa mfano wa Qur’ani hai” wanaoathiri jamii kupitia mwenendo wao, asema Hujjatul-Islam Seyyed Mohammad-Mehdi Tabatabaei kutoka Iran.
IQNA – Mitihani ya awali imeanza rasmi kwa washiriki wa kimataifa wanaojiandaa kushiriki katika Mashindano ya 32 ya Kimataifa ya Qur’ani, yanayoandaliwa na Wizara ya Awqaf ya Misri, yaliyopangwa kufanyika mwezi Disemba 2025.
IQNA – Msingi wa jamii ni ushirikiano, kushirikiana, na kubadilishana manufaa. Kwa hivyo, mtazamo wa kielimu wa Kiislamu umechukulia ushirikiano kuwa miongoni mwa mahitaji ya fikra za kimaadili.
IQNA – Mwana wa qari mashuhuri wa Qur’ani kutoka Misri, Sheikh Abdul Basit Abdul Samad (rahimahullah), ambaye sauti yake imehifadhiwa katika nyoyo za Waislamu duniani kote, amefariki dunia mjini Cairo siku ya Ijumaa, tarehe 31 Oktoba 2025.
IQNA – Kuzungumzia suala la “ Kupokonya Silaha Harakati za Muqawama” si chochote ila ni ndoto ya kufikirika, kwani maana yake ni kuwavua watu utashi wao na utambulisho wao, amesema mchambuzi wa kisiasa wa Kipalestina.
IQNA – Kituo cha Maendeleo ya Elimu kwa Wanafunzi wa Kigeni katika Chuo Kikuu cha Kiislamu cha Al-Azhar nchini Misri kimetangaza uzinduzi wa matawi mawili mapya ya Shule ya Kuhifadhi na Kusoma Qur’ani ya Imam el-Tayeb.
IQNA – Akifafanua dhana ya Yawm At-Taghābun, mwanazuoni wa chuo kikuu cha kidini kutoka (Hawzah) Iran amesema kuwa katika Siku ya Kiyama, mtu ataonyeshwa si tu matokeo ya matendo yake, bali pia mahali pake palipopotea Peponi—mandhari itakayokuwa majuto makubwa na mateso ya kiroho yasiyoelezeka.
IQNA – Mhubiri wa Kiislamu mzaliwa wa Japani, Fatima Atsuko Hoshino, amesema kuwa Qur'ani Tukufu imempa majibu ya maswali aliyokuwa nayo kwa muda mrefu na imemponya maradhi ambayo wataalamu wa tiba walishindwa kuyatibu.
IQNA – Serikali ya Malaysia imezindua mfumo mpya uitwao iTAQ unaotumia teknolojia ya Akili Mnemba (AI) kuharakisha mchakato wa kuthibitisha usahihi wa machapisho ya nakala za Qur'ani Tukufu.
IQNA – Mwanazuoni wa masuala ya dini, Reza Malazadeh Yamchi, amesema kuwa Qur'ani Tukufu inatoa msingi wa maadili kwa uelewano baina ya tamaduni, ikisisitiza heshima, usawa, na mazungumzo badala ya ubabe wa kitamaduni.
IQNA – Mwenyekiti wa Umoja wa Wanachuoni wa Qur'ani wa mkoa wa Kafr el-Sheikh nchini Misri amempa heshima maalum Sheikh Mohammed Younis al-Ghalban, gwiji wa usomaji wa Qur'an.
IQNA – Mashindano makubwa ya Qurani yatakayoshirikisha washiriki kutoka ndani na nje ya nchi huko Umoja wa Falme za Kiarabu (UAE) yataanza rasmi tarehe 1 Novemba.
IQNA – Mafanikio ya kihistoria katika sanaa ya hati za Kiislamu yamezinduliwa mjini Istanbul: Ni nakala kubwa zaidi ya Qur'ani duniani iliyoandikwa kwa mkono, matokeo ya juhudi za miaka sita bila kukata tamaa.
IQNA – Mkuu wa Kituo cha Kiislamu cha Al-Azhar nchini Misri amebainisha matumaini kuwa Italia itaungana na idadi inayoongezeka ya mataifa ambayo tayari yametambua rasmi taifa la Palestina.