iqna

IQNA

mtume muhammad
IQNA - Morocco imepiga marufuku usambazaji wa jarida la Kifaransa ambalo lina katuni zinazomvunjia heshima Mtume Muhammad (SAW). Serikali ya Morocco imesitisha usambazaji wa toleo namba 1407 la Marianne, ikitaja kuwepo kwa taswira zinazomvunjia heshima  Mtume Muhammad (SAW).
Habari ID: 3478483    Tarehe ya kuchapishwa : 2024/03/10

Ulimwengu wa Kiislamu
IQNA-Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu amezungumza kuhusu tukio chungu na la kuhuzunisha la Gaza na kuendelea jinai za utawala wa Kizayuni, na akasema: “masaibu ya Gaza ni masaibu ya wanadamu na yanaonyesha kuwa utaratibu wa sasa wa ulimwengu ni wa batili tupu, usioweza kudumu na utatoweka tu.
Habari ID: 3478321    Tarehe ya kuchapishwa : 2024/02/08

Mawaidha
TEHRAN (IQNA) – Ahlu Bayti (AS) ni maneno yanayotumiwa kurejelea familia ya Mitume wa Mwenyezi Mungu.
Habari ID: 3477778    Tarehe ya kuchapishwa : 2023/10/24

Umoja wa Kiislamu
TEHRAN (IQNA)- Mkuu wa Jumuiya ya Kimataifa ya Kukurubisha Madhehebu za Kiislamu wiki hii amezungumza na waandishi habari kuhusu Kongamano la 37 la Umoja wa Kiislamu mjini Tehran.
Habari ID: 3477659    Tarehe ya kuchapishwa : 2023/09/27

Milad-un-Nabii (Maulid ya Mtume Muhammad-SAW-)
BANGKOK (IQNA) - Waislamu katika Pattani, mji ulioko kusini mwa Thailand, walifanya "Matembezi ya Mahaba kwa Mtukufu Mtume Muhammad (SAW)" siku ya Jumapili.
Habari ID: 3477652    Tarehe ya kuchapishwa : 2023/09/25

Historia ya Uislamu
BAGHDAD (IQNA) – Mamia kwa maelfu ya wafanyaziyara wamesafiri katika miji mitukufu ya Iraq katika kumbukumbu ya kufariki Mtume Muhammad (SAW) na kuuawa shahidi mjukuu wake, Imam Hassan (AS).
Habari ID: 3477596    Tarehe ya kuchapishwa : 2023/09/14

TEHRAN (IQNA) – Kwa mujibu wa Qur’ani Tukufu na historia, Muhammad (SAW) ndiye mjumbe wa mwisho wa Mwenyezi Mungu.
Habari ID: 3477593    Tarehe ya kuchapishwa : 2023/09/13

Shakhsia katika Qur'ani Tukufu /47
TEHRAN (IQNA) – Mitume wa Mwenyezi Mungu, walipokabiliana na makundi mbalimbali ya watu waliokuwa na mashaka juu ya utume wao, walifanya mambo ya ajabu sana yaitwayo miujiza.
Habari ID: 3477584    Tarehe ya kuchapishwa : 2023/09/11

Mtazamo
TEHRAN (IQNA) – Neno “mjumbe” (Rasul) maana yake ni mtu anayeleta ujumbe na kuukabidhi kwa wengine. Jambo la muhimu kuhusu mjumbe huyu ni nani aliyemtuma, sio alicholeta. Utakatifu wa Mtume Muhammad (SAW) ni kwa sababu alitumwa na Mwenyezi Mungu.
Habari ID: 3477046    Tarehe ya kuchapishwa : 2023/05/26

Ibadah ya Umrah
TEHRAN (IQNA) – Kwa mujibu wa takwimu, zaidi ya Waislamu milioni tatu wameswali katika Rawdah Tukufu kwenye Msikiti wa Mtume (SAW), Al-Masjid an-Nabawi , mjini Madina katika miezi mitatu ya mwanzo ya mwaka huu wa 1444 Hijria Qamaria.
Habari ID: 3476067    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/11/10

Maulid ya Mtume Muhammad SAW
TEHRAN (IQNA) – Misikiti katika mji wa Uturuki wa Istanbul imeandaa sherehe za Milad-Un-Nabi za kukumbuka kuzaliwa kwa Mtume Muhammad (SAW).
Habari ID: 3475897    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/10/08

Mtume Muhammad SAW amesema: Waislamu wote ni ndugu na hakuna aliye bora zaidi ya mwingine ila katika Taqwa (Ucha Mungu). Kanz al-Ummal, Jildi 1, Uk 149. Nahjul Fasaha 3112
Habari ID: 3472209    Tarehe ya kuchapishwa : 2019/11/11

Habari ID: 3470290    Tarehe ya kuchapishwa : 2016/05/04