Ufunguzi wa mashindano hayo umehudhuriwa na Mohammad Baqer Qalibaf, Spika wa Majlisi ya Ushauri ya Kiislamu (Bunge la Iran) na Mohammad Mahdi Esmaili, Waziri wa Utamaduni na Miongozo ya Kiislamu katika Ukumbi wa Mkutano wa Kilele wa nchi za Kiislamu.